Hapa utapata maelezo kuhusu jinsi ya kutumia programu hii na kudhibiti akaunti yako. Endapo utakutana na changamoto yoyote unapotumia programu, wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255 769 429 132
Rifaly ni jukwaa la kidijitali la maudhui linalokupa ufikiaji wa magazeti, majarida, na hadithi kutoka kwa wachapishaji mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi. Unaweza kusoma, kuchunguza, na kujisajili kwenye machapisho uyapendayo moja kwa moja kupitia simu yako.